LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella atoa tamko rasmi kuhusiana na Maadhimisho ya Uhuru 2019

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (pichani) Novemba 27, 2019 akitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu Maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika yanayotarajiwa kufanyika kitaifa jijini Mwanza Disemba 09, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Naibu Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa akitoa neno la ukaribisho kwa wanahabari (hawako pichani) kabla ya Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (pichani juu) kutoa taarifa ya Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika 2019.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.