Sheikh ashindwa kujizuia "hakuna haja kutumia mabilioni kufanya uchaguzi"
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa wameambatana na viongozi wao akiwemo Sheikh wa Mkoa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke pamoja na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Novemba 04, 2019 walitembelea miradi ya ukarabati wa meli ya MV. Vicktoria pamoja na ujenzi wa meli mpya katika Bandari ya Mwanza Kusini.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Viongozi wa dini ya kiislamu wakiwasili katika bandari ya Mwanza Kusini unapofanyika ukarabati wa meli ya MV. Victoria pamoja na ujenzi wa meli mpya.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
No comments: