Viongozi wa dini watembelea miradi Airport Mwanza wapiga dua kali
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baada ya uzinduzi wa Maulid Novemba 04, 2019 katika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza, waumini wa dini ya kiislamu walitembelea miradi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza na kufanya dua maalum ya kuombea miradi hiyo pamoja na Taifa kwa ujumla. Sikukuu ya Maulid inatarajiwa kufanyika kitaifa jijini Mwanza Novemba 09, 2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza John mongella (katikati), Sheikh wa Mkoa Mwanza Hassan Kabeke (kushoto), viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa dini ya kiislamu walipotembelea upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mwanza.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini
No comments: