LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Magufuli kuongoza shamra shamra za Uhuru 2019 jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika yanayoambatana na miaka 57 ya Jamhuri yatakayofanyika Disemba 09, 2019 kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
#BMGHabari
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.