LIVE STREAM ADS

Header Ads

Makondakta jijini Mwanza waunga mkono kauli ya Serikali kwa vitendo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Viongozi na wanachama wa Umoja wa Makotandika jijini Mwanza (Umoja wa Vijana wa Daladala Stendi- UVDS), wakifanya usafi katika Hospitali ya Rifaa ya Wilaya Nyamagana mkoani Mwanza, Novemba 30, 2019 ikiwa ni utaratibu wa umoja huo kufanya usafi kila mwezi.
#BMGHabari
Umoja wa Makotandika jijini Mwanza (Umoja wa Vijana wa Daladala Stendi- UVDS), unatoa rai kwa wadau mbalimbali kuunga mkono jitihada za kuimarisha usafi kwa kuchangia vifaa vya usafi ili kuondoa uhaba walionao.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.