LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza waingojea kwa hamu Siku ya Uhuru “sekta zote zitaneemeka”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika yanayoambatana na miaka 57 ya Jamhuri yatakayofanyika Disemba 09, 2019 kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Tazama BMG TV ONLINE hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.