LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mapokezi ya ndege mpya jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wamewaongoza viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ajili ya mapokezi ya ndege mpya aina ya DE Havilland DASH 8-400 katika uwanja wa ndege wa Mwanza, Desemba 14, 2019 ikitokea nchini Canada ilikotengenezwa.
Picha na Michuzi Blog
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria mapokezi rasmi ya ndege hiyo.
 Mwonekano wa ndege hiyo baada ya kutua jijini Mwanza.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza kwa furaha marubani walioendesha ndege ya mpya aina ya DE Havilland DASH 8-400 kutoka Canada na kutua salama katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo baada ya kutua jijini Mwanza.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli (kushoto) pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan (kulia) wakiwa kwenye ndege hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.