LIVE STREAM ADS

Header Ads

Diwani wa CCM afanya makubwa Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Diwani wa Kata ya Mhandu jijini Mwanza, Sima Constantine Sima Januari 19, 2020 akizungumza kwenye mkutano wa utoaji taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha kuanzia Januari 2018 hadi Januari 2020. Sima aliingia madarakani mwaka 2017 baada ya aliyekuwa diwani wa Kata hiyo kufariki dunia.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
  Diwani wa Kata ya Mhandu jijini Mwanza, Sima Constantine Sima akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Ilani ya CCM katika kipindi cha mwaka 2018/20.
Katibu wa CCM Wilaya Nyamagana, Geofrey Gabenga akizungumza kwenye mkutano huo kwa niaba ya Katibu wa CCM Mkoa Mwanza ambapo alimpongeza Diwani wa Kata ya Mhandu, Sima Constantine Sima kwa kutekeleza vyema Ilani ya chama hicho.
Katibu wa CCM Kata ya Mhandu akitoa salamu zake kwenye mkutano huo.
 Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mhandu akizungumza kwenye mkutano huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.