LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mtibwa mabingwa wapya kombe la Mapinduzi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mtibwa Sugar wameibuka mabingwa wa kombe la Mapinduzi 2020 baada ya kuifunga Simba 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa usiku wa Januari 13, 2019 kwenye uwanja wa Amani Mjini Zanzibar. Hii ni mara ya pili Mtibwa kunyakua kombe hilo baada ya kufanya hivyo mwaka 2010.

No comments:

Powered by Blogger.