LIVE STREAM ADS

Header Ads

Magufuli "hatuogopi tena kuvaa magwanda ya kijani"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ameongoza kikao cha viongozi na watendaji wa Chama hicho pamoja na Jumiya zake za Mikoa na Wilaya. 

Kikao kilifanyika Januari 24, 2020 katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.