Tulinunua CARBON China, tukaletewa mkaa na poda- Mkurugenzi Busolwa Mining
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkurugenzi
wa kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Busolwa Mining, Baraka Ezekiel akizungumza
kwenye mkutano wa wadau wa madini Tanzania kujadili fursa za uwekezaji,
teknolojia, mitaji na masoko ya madini uliofanyika Januari 24, 2020 jijini
Mwanza. Mkutano huo pia ulihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa
Kairuki.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: