LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella amwakilisha Biteko mkutano wa wadau wa madini

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amemwakilisha Waziri wa Madini, Doto Biteko kwenye mkutano wa wadau wa madini Tanzania uliolenga kujadili fursa za uwekezaji, teknolojia, mitaji pamoja na masoko ya madini.

Mkutano huo ulifanyika Januari 24, 2020 jijini Mwanza ukiandaliwa na shirikisho la vyama vya wachimbaji wadogo wa madini Tanzania (FEMATA) na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye mkutano huo.
Wakuu wa wilaya mkoani Mwanza wakiwa kwenye mkutano huo.
Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi mkoani Mwanza wakiwa kwenye mkutano huo.
Wadau mbalimbali wa madini Tanzania wakifuatilia mkutano huo. 
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akiteta jambo na Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.