LIVE STREAM ADS

Header Ads

POLEPOLE “miaka 43 ya CCM kuwa madarakani ni michache”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole akizungumza kwenye sherehe za miaka 43 ya Chama hicho katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Februari 08, 2020. Polepole alisema miaka 43 ya taasisi kama CCM ni michache kuwa madarakani hivyo bado chama hicho kina nafasi zaidi ya kuendelea kuwa madarakani.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Baadhi ya wanachama wa CCM Mkoa Mwanza waliohudhuria sherehe za miaka 43 ya Chama hicho tangu kuasisiwa mwaka 1977 ikiwa ni Muungano wa TANU na ASP.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole pia alitumia sherehe hizo kuwaonya viongozi wenye tamaa ya madaraka ndani ya Chama hicho kuwa makini kwani yeyote atakayeonesha nia ya kutaka kugombea uchaguzi wa mwaka huu 2020 wakati tayari ana nafasi nyingine ya uongozi ajiandae kukatwa kichwa (kuondolewa kwenye kinyang'anyiro"
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.