LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIMANZI "watu 20 wafariki Moshi wakikanyaga mafuta ya upako"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Watu 20 inaelezwa wamefariki Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya kukanyagana wakati wakiwa kwenye harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye mkutano wa Mtume Boniphace Mwamposa 'Buludozer'.
Wakati huo huo Jeshi la Polisi limesema linamsaka Mtume Mwamposa aliyetoweka baada ya tukio hilo huku watu saba wakishilikiwa kwa mahojiano zaidi.

 Mtume Mwamposa "Bulldozer" akamatwa na Polisi

No comments:

Powered by Blogger.