LIVE STREAM ADS

Header Ads

Halmashauri mkoani Mwanza zabanwa ukusanyaji mapato/ imo Ukerewe iliyoshika mkia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye kikao cha pili cha Kamati ya Ushauri (RCC) kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kilichoketi Machi 07, 2020 kujadili ajenda mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa maazimio ya kikao kilichopita, mapendekezo ya bajeti ya Mkoa, gharama za uendeshaji wa mfumo wa Serikali kimkoa pamoja na bajeti ya miradi ya maendeleo kimkoa.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) alitumia kikao hicho kusisitiza Halmashauri zote mkoani Mwanza kuongeza ukusanyaji wa mapato hadi kufikia asilimia 75 mwezi Aprili mwaka huu ikiwemo Halmashauri ya Ukerewe ambayo ilishika nafasi ya pili kutoka mwisho katika ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha uliopita.
 Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Emmanuel Tutuba akitoa salamu zake kwenye kikao hicho.
Viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Wilaya walioshiriki kikao hicho.
 Viongozi mbalimbali wakiwemo Wabunge walioshiriki kikao hicho.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.