LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella awasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Machi 13, 2020 akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba 2019 mbele ya Wajumbe wa Mkutano Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akiwasilisha taarifa hiyo.
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza, Dkt. Antony Diallo akifungua mkutano huo.
 Katibu wa CCM Mkoa Mwanza, Salum Kali akitoa salamu zake kwenye mkutano huo.
 Mmoja wa wajumbe akichangia hoja kwenye mkutano huo.
 Viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kulia) wakiwa kwenye mkutano huo.
 Sekretarieti ya CCM Mkoa Mwanza ikiwa kwenye mkutano huo.
 Wajumbe mbalimbali waliohudhuria mkutano huo.
 Wajumbe mbalimbali wakifuatilia mkutano huo.
Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa Mwanza wakiwa kwenye mkutano huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.