LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wasindikaji wa Dagaa Afrika Mashariki wapewa mafunzo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Wasindikaji wa dagaa kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki wamekutana jijini Mwanza kupata mafunzo kuhusu namna ya kuboresha shughuli zao pamoja na kutanua wigo wa masoko ndani na nje ya nchi.

Mafunzo hayo yamedumu kwa muda wa siku tatu kuanzia Machi 10-12, 2020 yakiandaliwa na Taasisi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Lake Victoria Fishers Organization.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza kwenye kilele cha mafunzo hayo yaliyojumuisha washiriki kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.
Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhandisi Stephen Mlotte akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo hayo.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto) akikabidhi vyeti vya ushiriki kwa washiriki wa mafunzo hayo.
 Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo (kulia) akifurahia baada ya kukabidiwa cheti cha ushiriki na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto).
 Washiriki wa mafunzo hayo.
 Washiriki wa mafunzo ya usindikaji dagaa.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza (kulia) akifanya mahemezi ya daa kutoka kwa washiriki wa mafunzo hayo.
 Washiriki wa mafunzo hayo wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.