LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mradi wa Mama na Mtoto wapata MAFANIKIO mkoani Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mradi wa Mama na Mtoto unaotekelezwa katika Wilaya za Misungwi na Kwimba mkoani Mwanza tangu mwaka 2016 hadi 2020, umetajwa kuboresha huduma za afya hususani kupunguza idadi ya vifo vitokanavyo na uzazi kwa wanawake na watoto katika Wilaya hizo.

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella aliyasema hayo Machi 10, 2020 wakati akifungua mkutano wa wadau wa afya, uliolenga kujadili mafanikio pamoja na changamoto za mradi huo unaofadhiliwa na Serikali ya Canada.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Wadau wa afya akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa tatu waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau waliohudhuria mkutano huo.
 Wadau waliohudhuria mkutano huo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa tatu waliokaa).
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari za Afya

No comments:

Powered by Blogger.