Mongella ashtukiza waalimu/ akumbana na wachelewaji/ watorokaji
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella Machi 11, 2020 amekagua ujenzi wa bweni la wasichana
katika Shule ya Sekondari Mwanza na kisha kufuatilia mahudhurio ya waalimu
katika Shule hiyo ambapo amekuta hali si shwari.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanza ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuombwa na wanafunzi wa Shule hiyo alipofanya ziara jijini Mwanza,
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zinazohusiana na Mongella
No comments: