Wilaya ya Ukerewe yapokea Vifaa Tiba kupambana na vifo vya uzazi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella amepokea vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni
10 kwa ajili kuvigawa katika Zahanati, Vituo vya Afya pamoja na Hospitali ya
Wilaya ya Ukerewe.
Mongella
alipokea vifaa hivyo kupitia mradi wa USAID Boresha Afya unaolenga kupambana na
vifo vitokanavyo na uzazi kwa wanawake wajawazito na watoto chini ya umri wa
miaka mitano.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi kutoka Ukerewe
No comments: