LIVE STREAM ADS

Header Ads

Siku ya Wanawake Duniani 2020 “Mama Samia mgeni rasmi”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan (wa nne) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha Siku ya Wanawake Duniani kitaifa mkoani Simiyu Machi 08, 2020.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza tayari kuelekea mkoani Simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza akiwemo Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.