Siku ya Figo Duniani “Bugando yatoa huduma bure kwa wananchi”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Hospitali ya
Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo jijini Mwanza Machi 12, 2020 imeadhimisha Siku
ya Figo Duniani kwa kutoa bure huduma ya uchunguzi wa magonjwa ya Figo kwa
wananchi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando iliyopo jijini Mwanza imeboresha kitengo cha kusafisha figo na sasa wagonjwa wenye tatizo hilo Kanda ya Ziwa hawasafiri umbali mrefu kwenda Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma ama Muhimbili jijini Dar es salaam kufuata huduma hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: