LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanafunzi Mwanza watuma salamu kwa JPM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Iseni B iliyopo jijini Mwanza wamempongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya agizo lake la ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule hiyo kutekelezwa.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mwonekano wa baadhi ya vyumba vya madarasa katika Shule ya Msingi Iseni B jijini Mwanza.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Iseni B jijini Mwanza wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alipotembelea Shule hiyo Machi 11, 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.