LIVE STREAM ADS

Header Ads

Machinga Mwanza waonywa “msiitumie vibaya kauli ya Rais”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongellla (wa pili kushoto) Machi 11, 2020 amekagua miradi ya maendeleo katika Wilaya Nyamagana na kisha kupokea kero za wananchi kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Buhongwa ili kuzitatutia ufumbuzi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alikagua ujenzi wa barabara ya HESAWA Capripoint inayojengwa kwa kiwango cha lami.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alikagua ukarabati wa nyumba ya kihistoria ya Gunzert iliyopo Kata ya Nyamagana.
Ukarabati wa nyumba ya kihistoria ya Gunzert unaofadhiliwa na Ubalozi wa Ujerumani pamoja na Halmashauri ya Jiji la Mwanza.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella pia alikagua ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Mwanza iliyopo Kata ya Pamba.
 Pia Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alikagua ukarabati wa Hospitali ya Aga Khan jijini Mwanza.
 Viongozi wa Hospitali ya Aga Khan wakitoa ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto).
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa pili kushoto) akizungumza jambo na viongozi wa Hospitali ya Aga Khan.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alikagua ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa katika Shule ya Msingi Iseni B Kata ya Butimba.
 Pia Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alikagua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari Buhongwa.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Buhongwa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella baada ya kukagua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.