Tunanunua maji ndoo 60 “Serikali ituchangie sabuni”- Soko la Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wajasiriamali
katika Soko la Mbugani jijini Mwanza wameiomba Serikali kuwasaidia gharama za
kununua sabuni kwa ajili ya wananchi kunawa mikono kabla ya kuingia na kutoka
katika soko hilo ikiwa ni sehemu ya tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona
(Covid- 19).
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: