LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wimbi la Ukatili wa Kijinsia ‘wanasingizia Corona’

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Inaelezwa baadhi ya wanajamii wameanza kutumia mlipuko virusi vya Corona (Covid- 19) kutimiza azma zao ovu za vitendo vya Ukatili wa Kijinsia hususani kwa watoto na wanawake.

Hatua hiyo imewaibua wanaharakati wa kupinga ukatili wa kijinsia mkoani Mwanza ambao wamekuja na kampeni ya kuelimisha wanajamii ili kutotumia suala la Corona kama kichocheo cha ukatili katika jamii.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.