SAUT “Chuo cha kwanza kutekeleza agizo la Waziri Mkuu”
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Chuo Kikuu
cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) kimekuwa Chuo cha kwanza Tanzania
kuanzisha Dawati la Changamoto za Kijamii (Dawati la Jinsia) ili kushughulikia
changamoto mbalimbali zinazowakabili wanafunzi na jamii nzima ya wanachuo.
Uzinduzi wa
dawati hilo ulifanyika Jumatano Mei 27, 2020 ikiwa ni utekelezaji wa agizo la
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyeagiza vyuo vyote nchini kuanzisha madawati ya
kusikiliza malalamiko na changamoto za wanafunzi ikiwemo tuhuma za rushwa ya
ngono.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: