Vyuo vimalize mitaala “bila kuathiri ubora”- TCU
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Tume ya Vyuo
Vikuu Tanzania (TCU) imevitaka vyuo vyote nchini kujiandaa na kuhakikisha hadi
kufikia mwishoni mwa mwezi Oktoba 2020, wanafunzi wawe wamemaliza mitaala ya
masomo kwa mwaka 2019/ 20.
Katibu Mkuu
wa Tume hiyo, Prof. Charles Kihampa aliyasema hayo Mei 27, 2020 alipotembelea
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Mwanza ili kuona maandalizi ya wanafunzi
kuanza masomo kuanzia Juni Mosi 2020 baada masomo kusitishwa kutokana na janga
la Corona.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zinazohusiana
No comments: