LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza ajivunia kiwanda cha kusafisha dhahabu "Naibu Waziri ampa heko"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo Jumanne Mei 12, 2020 amekagua ujenzi wa mradi wa kiwanda cha kusafisha/ kuchakata dhahabu (Gold Refinery) unaojengwa jijini Mwanza na kuridhishwa na kasi ya ujenzi huo.
#BMGHabari
Ujenzi wa jengo la kiwanda cha kuchakata dhahabu ukiwa unaendelea jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.