LIVE STREAM ADS

Header Ads

Injini za meli mpya ya MV. Mwanza “Hapa Kazi Tu” zawasili

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Ujenzi wa meli mpya ya MV. Mwanza "Hapa Kazi Tu" (pichani itakapokamilika) umeendelea kushika kasi chini ya usimamizi wa kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) ambapo jumanne Mei 12, 2020 injini za meli hiyo inayoendelea kuundwa katika bandari ya Mwanza Kusini zimewasili zikitokea nchini Korea Kusini kupitia bandari ya Dar es salaam.
#BMGHabari
 Injini ya meli mpya ya MV. Mwanza "Hapa Kazi Tu" ikiwasili katika bandari ya Mwanza Kusini.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza kwenye hafla fupi ya kupokea injini hizo iliyofanyika katika bandari ya Mwanza Kusini.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akitoa salamu zake kwenye hafla hiyo.
 Mkuu wa Mkoa Mara, Adam Malima akitoa salamu zake wakati wa hafla ya kupokea injini hizo.
 Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Eric Hammisi akitoa taarifa ya ujenzi wa meli mpya ya MV. Mwanza "Hapa Kazi Tu".
 Mwakilishi wa kampuni ya GASTECH inayoshiriki kwenye ujenzi wa meli mpya ya MV. Mwanza "Hapa Kazi Tu" ameahidi kumaliza kazi kwa wakati hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2020.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari za Meli

No comments:

Powered by Blogger.