LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza “viongozi wa CHADEMA wahamia CCM”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Viongozi Waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa Mwanza Jumanne Juni 09, 2020 wamejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kueleza kwamba hatua hiyo inatokana na kuridhishwa na utendaji kazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
#BMGHabari
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa Mwanza,  Mwl. Joyce Nkwimba (kulia) akirejesha kadi ya CHADEMA na kupokea kai ya CCM.
  Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mkoa Mwanza,  Mwl. Joyce Nkwimba (kulia) akirejesha shati ya CHADEMA .
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Sumve wilayani Kwimba, madata Ndelule (kulia) akirejesha kadi ya chama hicho na kupokea kadi ya CCM.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.