Hospitali ya Bugando yaanza kutengeneza Vifaa Kinga
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Hospitali ya
Rufaa ya Kanda Bugando imeanza uzalishaji wa vifaa kinga mbalimbali ikiwemo
barakoa, vitakasa mikono pamoja na mavazi maalumu ya wataalamu wa afya hatua
ambayo itapunguza gharama za hospitali hiyo kuagiza vifaa hivyo.
Akizindua
viwanda vya kuzalisha vifaa hivyo Juni 09, 2020, Mkuu wa Mkoa Mwanza John
Mongella alimwagiza Mganga Mkuu Mkoa Mwanza kuhakikisha Waganga Wakuu wa Wilaya
wananunua vifaa kinga vinavyozalishwa Bugando.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na Bugando
No comments: