DC Misungwi akagua ujenzi wa Hospitali mpya ya Wilaya
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa
Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, Juma Sweda amekagua maandalizi ya ujenzi wa
Hospitali mpya ya Wilaya hiyo ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu shilingi
Bilioni moja kupitia mfumo wa “Force Account”. Tayari Halmashauri ya Wilaya
Misungwi imepokea fedha za awali shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi huo
ambao umeanza rasmi Juni 10, 2020.
Tazama BMG Online TV hapa chini
SOMA>>> Habari kutoka Misungwi
No comments: