LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko ‘atembea kifua mbele’ Sekta ya Madini

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Waziri wa Madini, Doto Biteko.
 Wafanyabiashara wa Madini pamoja na viongozi mbalimbali mkoani Geita wakimsikiliza Waziri wa Madini.
Sehemu ya mwonekano wa soko la Katundu mjini Geita linalojengwa kwa fedha za CSR kutoka mgodi wa GGM.
 Ujenzi wa soko la Nyatundu mjini Geita.
 Waziri Biteko Juni 04, 2020 alikagua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kutumia fedha za CSR kutoka mgodi wa GGM.
 Ujenzi wa Kituo cha Uwekezaji Bombambili mjini Geita.
 Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata dhahabu mjini Geita.
Mwonekano wa jengo jipya la maduka kwa ajili ya wafanyabiashara mbalimbali katika soko kuu la madini mjini Geita lililojengwa kwa fedha za CSR kutoka GGM.
 Viongozi mbalimbali wakiteta na Waziri wa Madini, Doto Biteko alipotembelea soko kuu la madini mkoani Geita.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.