LIVE STREAM ADS

Header Ads

Adha ya maji Magu yapata ‘tiba’

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mradi wa kisima kirefu cha maji katika Kata ya Kabila wilayani Misungwi ambao unatumia nishati ya umeme wa jua kusukuma maji.
 Ujenzi wa tenki la maji katika Kijiji cha Yichobela wilayani Misungwi kwa ajili ya kuhudumia wananchi kupitia mradi wa maji ya Ziwa Victoria.
 Mbunge wa Jimbo la Magu, Kiswaga Destery amekagua miradi mbalimbali ikiwemo maji na afya na kuridhishwa na jitihada za Serikali katika kuboresha huduma kwa wananchi wilayani Magu.
 Upanuzi wa Kituo cha Afya Kabila wilayani Magu.
 Wakazi wa Magu wakimlaki mbunge wao, Kiswaga Destery alipokuwa kwenye shughuli mbalimbali jimboni humo.
Viongozi mbalimbali wilayani Magu akiwemo Mbunge wa Jimbo la Magu, Kiswaga Destery (wa tatu kushoto) wakifurahia mapokezi makubwa kutoka kwa wananchi.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.