LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mongella asisitiza usimamizi mzuri wa ‘vitambulisho vya JPM’

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto) akisaini kupokea vitambulisho 73,000 vya wafanyabishara wadogo 'vitambulisho vya JPM' kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kabla ya kuvikabidhi kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mkoani Mwanza ili wakavigawe katika maeneo yao.
#BMGHabari
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kushoto) aliwataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri wakashirikiane vyema ili kuhakikisha zoezi la kugawa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo kwa mwaka huu 2020 linafanikiwa kama ilivyokuwa kwa mwaka jana 2019.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.