Tuna umeme wa kutosha "wote waunganishiwe" Waziri Kalemani
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (aliyesimama) Juni 26, 2020 alifanya ziara ya kikazi katika Wilaya Misungwi mkoani Mwanza kufuatilia utekelezaji wa miradi ya uunganishaji umeme vijijini na kutumia fursa hiyo kutoa maelekezo kadhaa kwa watendaji wa Wizara hiyo (tazama video hapo chini).
#BMGHabari
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akipokelewa na Mkuu wa Wilaya Misungwi Juma Sweda (kulia) pamoja na Katibu Tawala Wilaya Misungwi Petro Sabatto (katikati) alipowasili kwa ziara ya kikazi wilayani humo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
No comments: