LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mnayo haki ya kuchagua “lakini mtutendee haki”- BITEKO

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mbunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita, Doto Biteko (CCM) ametangaza nia yake ya kuchukua fomu ili kutetea tena nafasi hiyo kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2020.

Biteko ambaye pia ni Waziri wa Madini ametangaza nia hiyo Jumanne Julai 07, 2020 wakati akitoa salamu kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya Bukombe kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi katika kipindi cha mwaka 2015/20 iliyowasilishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Said Nkumba.
#BMGHabari
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya Bukombe wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bukombe akizungumza wakati wa mkutano huo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.