LIVE STREAM ADS

Header Ads

Aliyekuwa Katibu wa Mbunge Nyamagana ataja sababu za kugombea

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mwanahabari, Mwanaharakati na pia Mshauri na Saha, Florah Magabe ametia nia ya kuwania ya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Mwanza akiwakilisha kundi la wafanyakazi.


Akirejesha fomu Julai 16, 2020 katika Ofisi za CCM Mkoa Mwanza, Magabe ambaye pia alikuwa Katibu wa Mbunge Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula ametaja sababu kadhaa zilizomsukuma kuwania nafasi hiyo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.