LIVE STREAM ADS

Header Ads

Malikia wa Nguvu asaka ubunge mkoani Mara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mshindi wa Tuzo ya Heshima ya Malikia wa Nguvu mwaka 2019, Rhobi Samwel amerejesha fomu aliyochukua kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwakilisha kundi la taasisi za kijamii (NGO's).

Bi. Rhobi ambaye pia ni Mkurugenzi wa shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake "Hope for Girls and Women Tanzanaia" lenye Makao Makuu Mugumu Wilaya Serengeti Julai 16, 2020 ametinga katika Ofisi za CCM Mkoa Mara akiwa kwenye usafiri wa usafiri wa baiskeli kurejesha fomu hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.