LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko achaguliwa kwa kishindo kura za maoni Bukombe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Aliyekuwa mbunge wa Bukombe mkoani Geita ambaye pia ni Waziri wa Madini, Doto Biteko (CCM) amechanguliwa kwa kishindo kwenye kura za maoni ili kutetea tena nafasi yake kwa kupata kura 555 sawa na asilimia 97.5 ya kura zote 569 zilizopigwa.

Doto Biteko alipata kura 555, Mihayo Paul kura mbili, Mkama Mashinagu kura 0, Hosea Mashimba kura 0, Paul Mtasigazya kura saba, Magezi Mkandala kura 0, David Kilunguja kura 0, Michael Ishengoma kura moja, Hezron Manyangu kura mbili, Doto Nkuba kura moja, Modest Mwanuzi kura 0 na Juma Shilingi kura moja.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.