LIVE STREAM ADS

Header Ads

Biteko alivyoomba kura kuwania ubunge 2020

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Bukombe mkoani Geita Jumatatu Julai 20, 2020 wanapiga kura kumpitisha mtia nia mmoja kati ya watia nia 12 wilayani humo walioomba ridhaa ya kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2020.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.