LIVE STREAM ADS

Header Ads

Video ya "U MWEMA" yazinduliwa kwa kishindo jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mwimbaji anayekuja kwa kasi kwenye Muziki wa Injili jijini Mwanza, Renard Nickson amezindua rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao "U Mwema". Uzinduzi huo uliofana vyema ulifanyika jumapili Julai 05, 2020 katika Kanisa la EAGT Buzuruga jijini Mwanza.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
Tazama Video ya U Mwema- Renard Nickson hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.