LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mamia wachukua fomu CCM

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Zaidi ya watia nia 200 wamechukua fomu za kuwania ubunge mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa siku ya kwanza ya Julai 14, 2020 ambapo inatarajiwa kuwa na utitiri wa watia nia kupitia chama hicho hadi kufikia tamati ya kuchukua fomu Ijumaa Julai 15, 2020.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.