LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mtia Nia Musoma Vijijini aomba Haki itendeke

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Aliye wahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara na pia Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita, Ibrahim Marwa amechukua fomu ili kujitosa kwenye kinyang'ang'iro cha kusaka nafasi ya kugombea ubunge katika Jimbo hilo la Musoma Vijijini.

 Mtia nia huyo Ibrahimu Marwa anasaka nafasi hiyo tena kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo akichukua fomu ya kugombea Julai 14, 2020 ameomba mchakato wa kuwapata wagombea ufanyike kwa haki ili kila anayestahili apate nafasi ya kugombea.
Na Asha Shaban, Musoma
Mtia nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Musoma Vijijini (kushoto) akichukua fomu katika Ofisi za CCM Mkoa Mara.

No comments:

Powered by Blogger.