LIVE STREAM ADS

Header Ads

BAVICHA wanazindua Sera ya Vijana

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Jumapili Agosti 16, 2020 linafanya uzinduzi wa Sera ya Vijana jijini Mwanza ambapo mgeni rasmi ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.
Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika akiwasabahi wanachama wa chama hicho baada ya kuwasili kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Vijana inayofanyika jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, John Pambalu akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Vijana unaofanyika jijini Mwanza.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.