LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbio za "CRDB Marathon 2020" zafana jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.co 
Mbio za "CRDB Marathon 2020" ambazo zimefanyika katika mikoa mbalimbali nchini, zimefanya kwa upande wa Jijini la Mwanza ambapo zaidi ya wanariadha 30 wameshiriki mbio hizo zenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia matibabu kwa watoto wenye matatizo ya moyo katika Hospitali ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam.

Mbio hizo zimefanyika Jumapili Agosti 16, 2020 ambapo kwa Mkoa Mwanza mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya Nyamagana Dkt. Philis Nyimbi aliyepongeza kuanzishwa kwa mbio hizo.
Tazama picha hapa chini
Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi akizungumza kwenye kilele cha mbio za CRDB Marathon 2020 jijini Mwanza.
Benki ya CRDB imeahidi kuwafungulia akaunti ya "Junior Jumbo" watoto wawili ambao wameshiriki mbio hizo.
Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi akizungumza kwenye kilele cha mbio hizo.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Kanda ya Ziwa, Lusingi Sitta akizungumza kwenye kilele cha mbio hizo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.