CRDB Marathon itaokoa maisha ya watoto- DC Nyamagana
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa
Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi Agosti 16, 2020 amemwakilisha Mkuu wa Mkoa
Mwanza, John Mongella kwenye kilele cha mbio za CRDB Marathon 2020 zilizolenga
kukusanya fedha kwa ajili ya matibabu ya watoto wenye matatizo ya moyo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
TAZAMA>>> PICHA "CRDB Marathon 2020"
No comments: