LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ni majonzi "waliofariki kwa moto Mwanza"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Watu sita wa familia moja wamefariki dunia huku mmoja akijeruhiwa baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Agosti 21, 2020 katika Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza huku chanzo kikielezwa kuwa ni hitilafu ya umeme.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> 

No comments:

Powered by Blogger.