LIVE STREAM ADS

Header Ads

NI NOMA MKUTANO WA MAJALIWA MWANZA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa akiwaombea kura wagombea wa chama hicho katika Kijiji cha Ukara, Kata ya Bwisya wilayani Ukerewe, Septemba 23, 2020.
Viongozi mbalimbali akiwemo Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mwanza, Dkt. Antony Diallo (kulia), Mratibu wa Kampeni za CCM Kanda ya Ziwa, Christopher Gachumba (kushoto) na Waziri Mkuu Mstaafu, Pius Msekwa (katikati) wakiwa kwenye mkutano wa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa uliofanyika Nansio Ukerewe.
Nansio Ukerewe.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.